Naomy Chesengeny – Swahili

Nairobi, Mji mkuu wa Safari duniani Nililelewa vijijini nchini Kenya na kwa hivyo nilikua najua Nairobi tu kupitia picha kwenye kitabu changu cha masomo ya kijamii. Zilikuwa picha nzuri za majengo marefu, mabasi ya rangi mbalimbali, wanyamapori katika mbuga ya wanyama ya Nairobi, na picha za vituo vya kitamaduni kama vile Bomas of Kenya na African …